Mhubiri 7:14
Mhubiri 7:14 Biblia Habari Njema (BHN)
Katika siku za fanaka uwe na furaha; katika siku za maafa utafakari jambo hili: Fanaka, pia maafa, Mungu amefanya hiyo ya kwanza iambatane na ya pili ili binadamu asiweze kujua yatakayotukia baada yake.
Shirikisha
Soma Mhubiri 7Mhubiri 7:14 Swahili Revised Union Version (SRUV)
Siku ya kufanikiwa ufurahi, Na siku ya mabaya ufikiri. Mungu ameifanya hiyo moja kwenda sambamba na hiyo ya pili, ili mwanadamu asipate kulijua neno lolote litakalofuata baada yake.
Shirikisha
Soma Mhubiri 7