Mhubiri 5:8
Mhubiri 5:8 Biblia Habari Njema (BHN)
Usishangae ukiona katika nchi watu fukara wanakandamizwa, wananyimwa haki zao na maslahi yao. Kila mwenye cheo anayewadhulumu wanyonge yupo chini ya mkuu mwingine, na juu ya hao wote kuna wakuu zaidi.
Shirikisha
Soma Mhubiri 5Mhubiri 5:8 Swahili Revised Union Version (SRUV)
Ujapokuwa unaona maskini kuonewa, na hukumu na haki kuondolewa kwa jeuri katika jimbo, usilistaajabie jambo hilo; kwa sababu, Aliye Juu kuliko walio juu huangalia; Tena wako walio juu kupita hao.
Shirikisha
Soma Mhubiri 5