Mhubiri 2:24
Mhubiri 2:24 Neno: Bibilia Takatifu 2025 (NENO)
Hakuna kitu bora anachoweza kufanya mtu zaidi ya kula na kunywa na kuridhika katika kazi yake. Hili nalo pia, ninaona, latokana na mkono wa Mungu
Shirikisha
Soma Mhubiri 2Mhubiri 2:24 Biblia Habari Njema (BHN)
Hakuna chema kimfaacho binadamu, isipokuwa kula na kunywa na kuifurahia kazi yake. Hili nalo nimeliona kuwa latoka kwa Mungu
Shirikisha
Soma Mhubiri 2Mhubiri 2:24 Biblia Habari Njema (BHN)
Hakuna chema kimfaacho binadamu, isipokuwa kula na kunywa na kuifurahia kazi yake. Hili nalo nimeliona kuwa latoka kwa Mungu
Shirikisha
Soma Mhubiri 2Mhubiri 2:24 Swahili Revised Union Version (SRUV)
Mwanadamu hapati jema kupita kula na kunywa, na kuiburudisha roho yake kwa mema katika kazi yake. Hayo nayo niliona ya kwamba hutoka mkononi mwa Mungu.
Shirikisha
Soma Mhubiri 2