Mhubiri 2:22-23
Mhubiri 2:22-23 Biblia Habari Njema (BHN)
Mtu anafaidi nini kutokana na kazi zake zote, na juhudi anazohangaika nazo duniani? Kwa sababu maisha yake yote yamejaa taabu, na kazi yake ni mahangaiko matupu; hata usiku akili yake haipumziki! Hayo nayo ni bure kabisa.
Shirikisha
Soma Mhubiri 2Mhubiri 2:22-23 Swahili Revised Union Version (SRUV)
Kwa maana mtu hupata nini kwa kazi yake yote, na kwa juhudi ya moyo wake alivyojitahidi chini ya jua? Kwa kuwa siku zake zote ni masikitiko, na kazi yake ni huzuni; naam, hata usiku moyoni mwake hamna raha. Hayo nayo ni ubatili.
Shirikisha
Soma Mhubiri 2Mhubiri 2:22-23 Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia (SUV)

Soma Mhubiri 2