Mhubiri 2:21
Mhubiri 2:21 Neno: Bibilia Takatifu 2025 (NENO)
Kwa kuwa mtu anaweza kufanya kazi yake kwa hekima, maarifa na ustadi, kisha analazimika kuacha vyote alivyo navyo kwa mtu mwingine ambaye hajavifanyia kazi. Hili nalo pia ni ubatili tena ni balaa kubwa.
Shirikisha
Soma Mhubiri 2Mhubiri 2:21 Biblia Habari Njema (BHN)
Maana, wakati mwingine mtu ambaye amefanya kazi kwa kutumia hekima, akili na maarifa yake, humwachia mtu mwingine afurahie matunda ya kazi ambayo hakuitolea jasho. Pia hilo nalo ni bure kabisa; ni jambo baya sana.
Shirikisha
Soma Mhubiri 2Mhubiri 2:21 Swahili Revised Union Version (SRUV)
Maana kuna mtu ambaye kazi yake ni kwa hekima, na kwa maarifa, na kwa ustadi; naye atamwachia mtu asiyeshughulika nayo kuwa sehemu yake. Hayo tena ni ubatili, nayo ni baa kuu.
Shirikisha
Soma Mhubiri 2