Mhubiri 2:14
Mhubiri 2:14 Neno: Bibilia Takatifu 2025 (NENO)
Mtu mwenye hekima ana macho katika kichwa chake, lakini mpumbavu anatembea gizani; lakini nikaja kuona kwamba wote wawili hatima yao inafanana.
Shirikisha
Soma Mhubiri 2Mhubiri 2:14 Biblia Habari Njema (BHN)
Mwenye hekima anayo macho, huona aendako, lakini mpumbavu hutembea gizani. Hata hivyo, nikatambua kwamba mwenye hekima na mpumbavu mwisho wao ni uleule.
Shirikisha
Soma Mhubiri 2Mhubiri 2:14 Swahili Revised Union Version (SRUV)
macho yake mwenye hekima yamo kichwani mwake, lakini mpumbavu huenda gizani; ila hata hivyo nikatambua ya kwamba ni tukio moja la mwisho liwapatalo wote sawasawa.
Shirikisha
Soma Mhubiri 2