Mhubiri 11:3
Mhubiri 11:3 Biblia Habari Njema (BHN)
Mawingu yakijaa maji, mvua hunyesha; mti ukiangukia kusini au kaskazini, hapo uangukiapo ndipo ulalapo.
Shirikisha
Soma Mhubiri 11Mhubiri 11:3 Swahili Revised Union Version (SRUV)
Mawingu yakiwa yamejaa mvua, Yataimimina juu ya nchi; Na mti ukianguka kuelekea kusini, au kaskazini, Paangukapo ule mti, papo hapo utalala.
Shirikisha
Soma Mhubiri 11