Mhubiri 11:10
Mhubiri 11:10 Neno: Bibilia Takatifu 2025 (NENO)
Kwa hiyo, ondoa wasiwasi moyoni mwako na utupilie mbali masumbufu ya mwili wako, kwa kuwa ujana na nguvu ni ubatili.
Shirikisha
Soma Mhubiri 11Mhubiri 11:10 Biblia Habari Njema (BHN)
Ondoa mahangaiko moyoni mwako, jikinge, usipate maumivu mwilini kwa sababu ujana na mwisho wa maisha ni bure kabisa.
Shirikisha
Soma Mhubiri 11Mhubiri 11:10 Swahili Revised Union Version (SRUV)
Kwa hiyo ondoa majonzi moyoni mwako, nawe uuondoe ubaya mwilini mwako; kwa maana ujana ni ubatili, na utu uzima pia.
Shirikisha
Soma Mhubiri 11