Mhubiri 10:19
Mhubiri 10:19 Biblia Habari Njema (BHN)
Chakula ni kwa ajili ya kujifurahisha, divai huchangamsha maisha; na fedha husababisha hayo yote.
Shirikisha
Soma Mhubiri 10Mhubiri 10:19 Swahili Revised Union Version (SRUV)
Karamu hufanywa kwa ajili ya kicheko, Na divai huyafurahisha maisha; Na fedha huleta jawabu la mambo yote.
Shirikisha
Soma Mhubiri 10