Mhubiri 10:17
Mhubiri 10:17 Biblia Habari Njema (BHN)
Heri yako, ewe nchi, mtawala wako akiwa mtu wa heshima, na viongozi wako wakifanya sherehe wakati wa kufaa, ili kujipatia nguvu na si kujilewesha.
Shirikisha
Soma Mhubiri 10Mhubiri 10:17 Swahili Revised Union Version (SRUV)
Heri kwako, nchi, mfalme wako akiwa mtoto wa watu, Na wakuu wako hula wakati ufaao, Ili makusudi wapate nguvu, wala si kwa ajili ya ulevi.
Shirikisha
Soma Mhubiri 10