Mhubiri 1:2-3
Mhubiri 1:2-3 Biblia Habari Njema (BHN)
Bure kabisa, bure kabisa, nakuambia mimi Mhubiri! Kila kitu ni bure kabisa! Binadamu hufaidi nini kwa jasho lake lote hapa duniani?
Shirikisha
Soma Mhubiri 1Mhubiri 1:2-3 Swahili Revised Union Version (SRUV)
Mhubiri asema, Ubatili mtupu, ubatili mtupu, mambo yote ni ubatili. Mtu ana faida gani ya kazi yake yote aifanyayo chini ya jua?
Shirikisha
Soma Mhubiri 1