Mhubiri 1:14-15
Mhubiri 1:14-15 Biblia Habari Njema (BHN)
Nimeyaona yote yanayofanywa duniani; yote ni bure: Ni sawa na kufukuza upepo! Kilichopindika hakiwezi kunyoshwa, kisichokuwapo hakiwezi kuhesabiwa.
Shirikisha
Soma Mhubiri 1Mhubiri 1:14-15 Swahili Revised Union Version (SRUV)
Nimeziona kazi zote zifanywazo chini ya jua; na, tazama, mambo yote ni ubatili na kufukuza upepo. Yaliyopotoka hayawezi kunyoshwa, Wala yasiyokuwapo hayahesabiki.
Shirikisha
Soma Mhubiri 1