Mhubiri 1:1-2
Mhubiri 1:1-2 Biblia Habari Njema (BHN)
Yafuatayo ni maneno ya Mhubiri mwana wa Daudi, aliyekuwa mfalme huko Yerusalemu. Bure kabisa, bure kabisa, nakuambia mimi Mhubiri! Kila kitu ni bure kabisa!
Shirikisha
Soma Mhubiri 1Mhubiri 1:1-2 Swahili Revised Union Version (SRUV)
Maneno ya Mhubiri mwana wa Daudi, mfalme katika Yerusalemu Mhubiri asema, Ubatili mtupu, ubatili mtupu, mambo yote ni ubatili.
Shirikisha
Soma Mhubiri 1