Kumbukumbu la Sheria 4:9
Kumbukumbu la Sheria 4:9 Biblia Habari Njema (BHN)
“Lakini muwe waangalifu na kujihadhari sana msije mkasahau mambo yale mliyoyaona kwa macho yenu wenyewe. Isije ikatokea hata mara moja maishani mwenu mambo hayo yakasahaulika mioyoni mwenu. Wasimulieni watoto wenu na wajukuu wenu
Kumbukumbu la Sheria 4:9 Swahili Revised Union Version (SRUV)
Lakini, jihadhari nafsi yako, ukailinde roho yako kwa bidii, usije ukayasahau mambo yale uliyoyaona kwa macho yako, yakaondoka moyoni mwako siku zote za maisha yako; bali uwajulishe watoto wako na watoto wa watoto wako
Kumbukumbu la Sheria 4:9 Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia (SUV)