Kumbukumbu la Sheria 4:43
Kumbukumbu la Sheria 4:43 Swahili Revised Union Version (SRUV)
nayo ni hii, Beseri ya barani iliyo katika nchi tambarare, kwa Wareubeni; na Ramothi iliyo Gileadi, kwa Wagadi; na Golani iliyo Bashani, kwa Wamanase.
Shirikisha
Soma Kumbukumbu la Sheria 4Kumbukumbu la Sheria 4:43 Biblia Habari Njema (BHN)
Alitenga mji wa Beseri katika tambarare ya jangwa kwa ajili ya kabila la Reubeni; mji wa Ramothi katika nchi ya Gileadi kwa ajili ya kabila la Gadi, na mji wa Golani katika nchi ya Bashani kwa ajili ya kabila la Manase.
Shirikisha
Soma Kumbukumbu la Sheria 4Kumbukumbu la Sheria 4:43 Swahili Revised Union Version (SRUV)
nayo ni hii, Beseri ya barani iliyo katika nchi tambarare, kwa Wareubeni; na Ramothi iliyo Gileadi, kwa Wagadi; na Golani iliyo Bashani, kwa Wamanase.
Shirikisha
Soma Kumbukumbu la Sheria 4