Kumbukumbu la Sheria 4:37
Kumbukumbu la Sheria 4:37 Biblia Habari Njema (BHN)
Kwa kuwa aliwapenda wazee wenu, yeye amewateua nyinyi wazawa wao, akawatoa yeye mwenyewe nchini Misri kwa nguvu yake kuu.
Shirikisha
Soma Kumbukumbu la Sheria 4Kumbukumbu la Sheria 4:37 Swahili Revised Union Version (SRUV)
Na kwa sababu aliwapenda baba zenu, kwa sababu hiyo aliwachagua wazao wao baada yao, akakutoa katika Misri kwa kuwako pamoja nawe, kwa uweza wake mwingi
Shirikisha
Soma Kumbukumbu la Sheria 4