Chapa ya Youversion
Ikoni ya Utafutaji

Kumbukumbu la Sheria 4:24 - Compare All Versions

Kumbukumbu la Sheria 4:24 BHN (Biblia Habari Njema)

maana Mwenyezi-Mungu, Mungu wenu, ni moto uteketezao; yeye ni Mungu mwenye wivu.

Kumbukumbu la Sheria 4:24 SRUV (Swahili Revised Union Version)

kwa kuwa BWANA, Mungu wenu, ni moto uangamizao, Mungu mwenye wivu.

Kumbukumbu la Sheria 4:24 SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)

kwa kuwa BWANA, Mungu wenu, ni moto ulao, Mungu mwenye wivu.

Kumbukumbu la Sheria 4:24 NEN (Neno)

Kwa kuwa BWANA Mungu wenu ni moto ulao, Mungu mwenye wivu.