Kumbukumbu la Sheria 33:9
Kumbukumbu la Sheria 33:9 Biblia Habari Njema (BHN)
Ulishindana nao kwenye maji ya Meriba. Walawi walioamua kuwaacha wazee wao, wakawasahau jamaa zao, wasiwatambue hata watoto wao maana walizingatia amri zako, na kushika agano lako.
Shirikisha
Soma Kumbukumbu la Sheria 33Kumbukumbu la Sheria 33:9 Swahili Revised Union Version (SRUV)
Aliyemtaja baba yake na mama yake, Mimi sikumwona; Wala nduguze hakuwakubali; Wala hakuwajua watoto wake mwenyewe; Maana wameliangalia neno lako, Wamelishika agano lako.
Shirikisha
Soma Kumbukumbu la Sheria 33