Kumbukumbu la Sheria 33:7
Kumbukumbu la Sheria 33:7 Biblia Habari Njema (BHN)
Juu ya kabila la Yuda alisema: “Ee Mwenyezi-Mungu usikilize kilio cha kabila la Yuda; umrudishe tena kwa watu wale wengine. Upigane kwa mikono yako kwa ajili yake, ulisaidie kabila la Yuda dhidi ya adui zake.”
Shirikisha
Soma Kumbukumbu la Sheria 33Kumbukumbu la Sheria 33:7 Swahili Revised Union Version (SRUV)
Na baraka ya Yuda ni hii; akasema, Isikize, Ee BWANA, sauti ya Yuda, Umlete ndani kwa watu wake; Alijitetea kwa mikono yake; Nawe utakuwa msaada juu ya adui zake.
Shirikisha
Soma Kumbukumbu la Sheria 33