Kumbukumbu la Sheria 33:4-5
Kumbukumbu la Sheria 33:4-5 Biblia Habari Njema (BHN)
Mose alituamuru tutii sheria; kitu cha thamani kuu cha taifa letu. Mwenyezi-Mungu akawa mfalme wa Israeli, wakati viongozi wao walipokutana, na makabila yote yalipokusanyika.
Shirikisha
Soma Kumbukumbu la Sheria 33Kumbukumbu la Sheria 33:4-5 Swahili Revised Union Version (SRUV)
Musa alituagiza torati, Ni urithi kwa mkutano wa Yakobo. Akawa mfalme katika Yeshuruni, Walipokutanika wakuu wa watu, Makabila yote ya Israeli pamoja.
Shirikisha
Soma Kumbukumbu la Sheria 33