Kumbukumbu la Sheria 30:15 - Compare All Versions
Kumbukumbu la Sheria 30:15 BHN (Biblia Habari Njema)
“Leo hii nawapeni uchaguzi kati ya mema na mabaya; kati ya uhai na kifo.
Shirikisha
Kumbukumbu la Sheria 30 BHNKumbukumbu la Sheria 30:15 SRUV (Swahili Revised Union Version)
Angalia, nimekuwekea leo mbele yako uzima na mema, na mauti na mabaya
Shirikisha
Kumbukumbu la Sheria 30 SRUVKumbukumbu la Sheria 30:15 SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Angalia, nimekuwekea leo mbele yako uzima na mema, na mauti na mabaya
Shirikisha
Kumbukumbu la Sheria 30 SUVKumbukumbu la Sheria 30:15 NEN (Neno)
Tazama, naweka mbele yako leo uzima na mafanikio, mauti na maangamizi.
Shirikisha
Kumbukumbu la Sheria 30 NEN