Chapa ya Youversion
Ikoni ya Utafutaji

Kumbukumbu la Sheria 30:11 - Compare All Versions

Kumbukumbu la Sheria 30:11 BHN (Biblia Habari Njema)

“Amri ninazowapa leo si ngumu mno kwenu, wala haziko mbali nanyi.

Kumbukumbu la Sheria 30:11 SRUV (Swahili Revised Union Version)

Kwa maana maagizo haya nikuagizayo leo, si mazito mno kwako, wala si mbali.

Kumbukumbu la Sheria 30:11 SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)

Kwa maana maagizo haya nikuagizayo leo, si mazito mno kwako, wala si mbali.

Kumbukumbu la Sheria 30:11 NEN (Neno)

Ninachokuagiza leo sio kigumu sana kwako au usichokiweza.