Kumbukumbu la Sheria 28:7
Kumbukumbu la Sheria 28:7 Biblia Habari Njema (BHN)
Maadui zenu wakiwashambulia, Bwana atawapeni ushindi juu yao. Wakija kuwashambulia kwa njia moja watawakimbieni kwa njia saba.
Shirikisha
Soma Kumbukumbu la Sheria 28Kumbukumbu la Sheria 28:7 Swahili Revised Union Version (SRUV)
BWANA atawafanya adui zako wainukao juu yako kupigwa mbele yako; watakutokea kwa njia moja, lakini watakimbia mbele yako kwa njia saba.
Shirikisha
Soma Kumbukumbu la Sheria 28