Nembo ya Programu ya Biblia
Ikoni ya Utafutaji

Kumbukumbu la Sheria 28:12 - Linganisha Matoleo Yote

Kumbukumbu la Sheria 28:12 BHN (Biblia Habari Njema)

Mwenyezi-Mungu atawafungulieni hazina yake nzuri kutoka mbinguni na kunyesha mvua katika nchi kwa wakati wake, na kubariki kazi zenu. Mtayakopesha mataifa mengi, lakini nyinyi hamtakopa.

Kumbukumbu la Sheria 28:12 SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)

Atakufunulia BWANA hazina yake nzuri, nayo ni mbingu, kwa kutoa mvua ya nchi yako kwa wakati wake, na kwa kubarikia kazi yote ya mkono wako; nawe utakopesha mataifa mengi, wala hutakopa wewe.

Kumbukumbu la Sheria 28:12 SRUV (Swahili Revised Union Version)

Atakufunulia BWANA hazina yake nzuri, nayo ni mbingu, kwa kutoa mvua ya nchi yako kwa wakati wake, na kwa kubarikia kazi yote ya mkono wako; nawe utakopesha mataifa mengi, wala hutakopa wewe.

Kumbukumbu la Sheria 28:12 NEN (Neno)

BWANA atafungua mbingu, ghala zake za baraka, kukupa mvua kwa majira yake na kubariki kazi zako zote za mikono yako. Utakopesha mataifa mengi lakini hutakopa kwa yeyote.