Kumbukumbu la Sheria 28:1
Kumbukumbu la Sheria 28:1 Biblia Habari Njema (BHN)
“Kama mkiitii sauti ya Mwenyezi-Mungu, Mungu wenu na kuzingatia kwa uangalifu amri ambazo ninawaamuru leo, yeye atawaweka juu ya mataifa yote duniani.
Shirikisha
Soma Kumbukumbu la Sheria 28Kumbukumbu la Sheria 28:1 Swahili Revised Union Version (SRUV)
Itakuwa utakaposikia sauti ya BWANA, Mungu wako, kwa bidii, kutunza kuyafanya maagizo yake yote nikuagizayo leo, ndipo BWANA, Mungu wako, atakapokutukuza juu ya mataifa yote ya duniani
Shirikisha
Soma Kumbukumbu la Sheria 28