Kumbukumbu la Sheria 23:22
Kumbukumbu la Sheria 23:22 Neno: Bibilia Takatifu 2025 (NENO)
Lakini ukijizuia kuweka nadhiri, hutakuwa na hatia.
Shirikisha
Soma Kumbukumbu la Sheria 23Kumbukumbu la Sheria 23:22 Biblia Habari Njema (BHN)
Lakini ukiacha kuweka nadhiri hutakuwa na dhambi.
Shirikisha
Soma Kumbukumbu la Sheria 23Kumbukumbu la Sheria 23:22 Swahili Revised Union Version (SRUV)
Lakini ukijizuia usiweke nadhiri, haitakuwa dhambi kwako.
Shirikisha
Soma Kumbukumbu la Sheria 23