Kumbukumbu la Sheria 21:23
Kumbukumbu la Sheria 21:23 Biblia Habari Njema (BHN)
maiti yake isiachwe mtini usiku wote, bali mtaizika siku hiyohiyo. Maana mtu aliyenyongwa amelaaniwa na Mungu nanyi hamtaitia najisi nchi yenu mliyopewa na Mwenyezi-Mungu, Mungu wenu, iwe mali yenu.
Kumbukumbu la Sheria 21:23 Swahili Revised Union Version (SRUV)
mzoga wake usikae usiku kucha juu ya mti; lazima utamzika siku iyo hiyo; kwani aliyetundikwa amelaaniwa na Mungu; usije ukatia unajisi katika nchi yako akupayo BWANA, Mungu wako, iwe urithi wako.
Kumbukumbu la Sheria 21:23 Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia (SUV)
mzoga wake usikae usiku kucha juu ya mti; lazima utamzika siku iyo hiyo; kwani aliyetundikwa amelaaniwa na Mungu; usije ukatia unajisi katika nchi yako akupayo BWANA, Mungu wako, iwe urithi wako.
Kumbukumbu la Sheria 21:23 Neno: Bibilia Takatifu 2025 (NENO)
kamwe msiuache mwili wake mtini usiku kucha. Hakikisheni mnauzika mwili wake siku ile ile, kwa sababu kila mtu anayeangikwa mtini yupo chini ya laana ya Mungu. Msiinajisi nchi ambayo BWANA Mungu wenu anawapa kama urithi wenu.