Kumbukumbu la Sheria 20:1
Kumbukumbu la Sheria 20:1 Neno: Bibilia Takatifu 2025 (NENO)
Mtakapoenda vitani kupigana na adui zenu na mkaona farasi na magari ya vita na jeshi kubwa kuliko lenu, msiwaogope, kwa sababu BWANA Mungu wenu aliyewatoa kutoka Misri, atakuwa pamoja nanyi.
Kumbukumbu la Sheria 20:1 Swahili Revised Union Version (SRUV)
Utokapo kwenda vitani kupigana na adui zako, na kuona farasi, na magari, na watu wengi kuliko wewe, usiwaogope; kwa kuwa BWANA Mungu wako, yu pamoja nawe, aliyekukweza kutoka nchi ya Misri.
Kumbukumbu la Sheria 20:1 Biblia Habari Njema (BHN)
“Mkienda vitani kupigana na adui zenu, mkaona farasi, magari na jeshi kubwa zaidi kuliko lenu msiwaogope. Maana Mwenyezi-Mungu, Mungu wenu aliyewatoa Misri, atakuwa nanyi.
Kumbukumbu la Sheria 20:1 Swahili Revised Union Version (SRUV)
Utokapo kwenda vitani kupigana na adui zako, na kuona farasi, na magari, na watu wengi kuliko wewe, usiwaogope; kwa kuwa BWANA Mungu wako, yu pamoja nawe, aliyekukweza kutoka nchi ya Misri.
Kumbukumbu la Sheria 20:1 Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia (SUV)