Kumbukumbu la Sheria 2:7
Kumbukumbu la Sheria 2:7 Neno: Bibilia Takatifu 2025 (NENO)
BWANA Mungu wenu amewabariki kwa kazi yote ya mikono yenu. Amewalinda katika safari yenu katikati ya jangwa hili kubwa. Kwa miaka hii arobaini BWANA Mungu wenu amekuwa pamoja nanyi, na hamkupungukiwa na kitu chochote.
Kumbukumbu la Sheria 2:7 Biblia Habari Njema (BHN)
“Basi, kumbukeni jinsi Mwenyezi-Mungu Mungu wenu alivyowabariki katika kila jambo mlilofanya. Aliwatunza mlipokuwa mnatangatanga katika jangwa hili kubwa. Amekuwa pamoja nanyi miaka hii yote arubaini na hamkupungukiwa kitu chochote.
Kumbukumbu la Sheria 2:7 Swahili Revised Union Version (SRUV)
Kwa kuwa BWANA, Mungu wako, amekubariki katika kazi yote ya mkono wako; amejua ulivyotembea katika jangwa kubwa hili; miaka arubaini hii alikuwa nawe BWANA, Mungu wako; hukukosa kitu.
Kumbukumbu la Sheria 2:7 Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia (SUV)
Kwa kuwa BWANA, Mungu wako, amekubarikia katika kazi yote ya mkono wako; amejua ulivyotembea katika jangwa kubwa hili; miaka arobaini hii alikuwa nawe BWANA, Mungu wako; hukukosa kitu.