Kumbukumbu la Sheria 18:1
Kumbukumbu la Sheria 18:1 Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia (SUV)
Makuhani Walawi, kabila yote ya Lawi, wasiwe na fungu wala urithi pamoja na Israeli; watakula sadaka za BWANA zifanywazo kwa moto, na urithi wake.
Kumbukumbu la Sheria 18:1 Biblia Habari Njema (BHN)
“Makuhani Walawi, yaani kabila lote la Lawi wasiwe na sehemu wala urithi katika Israeli. Wao watakula sehemu ya sadaka za Mwenyezi-Mungu.
Kumbukumbu la Sheria 18:1 Swahili Revised Union Version (SRUV)
Makuhani Walawi, kabila yote ya Lawi, wasiwe na fungu wala urithi pamoja na Israeli; watakula sadaka za BWANA zifanywazo kwa moto, na urithi wake.
Kumbukumbu la Sheria 18:1 Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia (SUV)
Makuhani Walawi, kabila yote ya Lawi, wasiwe na fungu wala urithi pamoja na Israeli; watakula sadaka za BWANA zifanywazo kwa moto, na urithi wake.
Kumbukumbu la Sheria 18:1 Neno: Bibilia Takatifu 2025 (NENO)
Makuhani ambao ni Walawi, yaani kabila lote la Lawi, hawatakuwa na mgawo wala urithi pamoja na Israeli. Wataishi kwa sadaka zitolewazo kwa ajili ya BWANA za kuteketezwa kwa moto, kwa maana huo ndio urithi wao.