Kumbukumbu la Sheria 17:19
Kumbukumbu la Sheria 17:19 Neno: Bibilia Takatifu 2025 (NENO)
Atakuwa na nakala hiyo, naye ataisoma siku zote za maisha yake ili ajifunze kumheshimu BWANA Mungu wake, na kufuata kwa uangalifu maneno yote ya sheria hii na amri hizi
Shirikisha
Soma Kumbukumbu la Sheria 17Kumbukumbu la Sheria 17:19 Biblia Habari Njema (BHN)
Nakala hiyo atakuwa nayo daima na kuisoma maisha yake yote, ili apate kujifunza kumcha Mwenyezi-Mungu, Mungu wake, akishika na kutimiza maneno yote ya sheria hii na masharti haya
Shirikisha
Soma Kumbukumbu la Sheria 17Kumbukumbu la Sheria 17:19 Swahili Revised Union Version (SRUV)
na awe nayo, asome humo siku zote atakazoishi; ili apate kujifunza kumcha BWANA, Mungu wake, ayashike maneno yote ya torati hii na amri hizi, kwa kuyafanya
Shirikisha
Soma Kumbukumbu la Sheria 17