Kumbukumbu la Sheria 16:19
Kumbukumbu la Sheria 16:19 Biblia Habari Njema (BHN)
Msipotoshe haki; msiwe na upendeleo, wala msikubali kupokea rushwa, kwa kuwa rushwa hupofusha macho ya watu wenye hekima na kupotosha kesi ya mtu mwadilifu.
Shirikisha
Soma Kumbukumbu la Sheria 16Kumbukumbu la Sheria 16:19 Swahili Revised Union Version (SRUV)
Usipotoe maamuzi; wala usipendelee uso wa mtu; wala usitwae rushwa; kwa kuwa rushwa hupofusha macho ya wenye akili, na kugeuza kesi wa wenye haki.
Shirikisha
Soma Kumbukumbu la Sheria 16