Kumbukumbu la Sheria 10:17
Kumbukumbu la Sheria 10:17 Neno: Bibilia Takatifu 2025 (NENO)
Kwa kuwa BWANA Mungu wenu ni Mungu wa miungu na Bwana wa mabwana, Mungu mkuu, mwenye uweza na wa kutisha, ambaye hana upendeleo na hapokei rushwa.
Shirikisha
Soma Kumbukumbu la Sheria 10Kumbukumbu la Sheria 10:17 Biblia Habari Njema (BHN)
Maana Mwenyezi-Mungu, Mungu wenu, ndiye Mungu wa miungu na Bwana wa mabwana. Yeye ni Mungu mkuu na mwenye nguvu, na wa kuogofya; hapendelei wala hapokei rushwa.
Shirikisha
Soma Kumbukumbu la Sheria 10Kumbukumbu la Sheria 10:17 Swahili Revised Union Version (SRUV)
Kwa maana BWANA, Mungu wenu, yeye ndiye Mungu wa miungu, na Bwana wa mabwana, Mungu mkuu, mwenye kuogofya, asiyependelea watu, wala kukubali rushwa.
Shirikisha
Soma Kumbukumbu la Sheria 10