Danieli 8:1 - Compare All Versions
Danieli 8:1 BHN (Biblia Habari Njema)
“Mnamo mwaka wa tatu wa utawala wa mfalme Belshaza, maono mengine yalinijia mimi Danieli, licha ya maono yale ya kwanza.
Shirikisha
Danieli 8 BHNDanieli 8:1 SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Katika mwaka wa tatu wa kumiliki kwake mfalme Belshaza maono yalinitokea mimi, naam, mimi Danieli, baada ya hayo yaliyonitokea hapo kwanza.
Shirikisha
Danieli 8 SUVDanieli 8:1 SRUV (Swahili Revised Union Version)
Katika mwaka wa tatu wa kutawala kwake mfalme Belshaza maono yalinitokea mimi, naam, mimi Danieli, baada ya hayo yaliyonitokea hapo kwanza.
Shirikisha
Danieli 8 SRUVDanieli 8:1 NEN (Neno)
Katika mwaka wa tatu wa utawala wa Mfalme Belshaza, mimi Danieli nilipata maono, baada ya maono yaliyokuwa yamenitokea awali.
Shirikisha
Danieli 8 NEN