Danieli 7:2-3
Danieli 7:2-3 Biblia Habari Njema (BHN)
“Mimi Danieli niliona katika maono usiku, pepo nne toka pande zote za mbinguni zikiichafua bahari kuu. Wanyama wakubwa wanne, wakainuka kutoka humo baharini, kila mmoja tofauti na mwenzake.
Shirikisha
Soma Danieli 7Danieli 7:2-3 Swahili Revised Union Version (SRUV)
Danieli akanena, akisema, Niliona katika maono yangu wakati wa usiku; na tazama, hizo pepo nne za mbinguni zilivuma kwa nguvu juu ya bahari kubwa. Ndipo wanyama wakubwa wanne wakatoka baharini, wote wa namna mbalimbali.
Shirikisha
Soma Danieli 7Danieli 7:2-3 Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia (SUV)
Danieli akanena, akisema, Naliona katika maono yangu wakati wa usiku; na tazama, hizo pepo nne za mbinguni zilivuma kwa nguvu juu ya bahari kubwa. Ndipo wanyama wakubwa wanne wakatoka baharini, wote wa namna mbalimbali.
Shirikisha
Soma Danieli 7