Danieli 7:14
Danieli 7:14 Biblia Habari Njema (BHN)
Akapewa mamlaka, utukufu na ufalme, ili watu wa makabila yote, mataifa yote na lugha zote wamtumikie. Utawala wake ni wa milele na ufalme wake kamwe hautaangamizwa.
Shirikisha
Soma Danieli 7Danieli 7:14 Swahili Revised Union Version (SRUV)
Naye akapewa mamlaka, na utukufu, na ufalme, ili watu wa kabila zote, na taifa zote, na lugha zote, wamtumikie; mamlaka yake ni mamlaka ya milele, ambayo hayatapita kamwe, na ufalme wake ni ufalme usioweza kuangamizwa.
Shirikisha
Soma Danieli 7Danieli 7:14 Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia (SUV)

Soma Danieli 7