Danieli 6:8-9
Danieli 6:8-9 Biblia Habari Njema (BHN)
Hivyo, ee mfalme Dario, utoe amri hiyo na kuitia hati sahihi yako ili isibadilishwe. Nayo itakuwa sheria ya Wamedi na Wapersi, sheria ambayo haibatilishwi.” Hivyo, mfalme Dario akaitia sahihi hati ya sheria hiyo.
Shirikisha
Soma Danieli 6Danieli 6:8-9 Neno: Bibilia Takatifu (NEN)
Sasa, ee mfalme, toa amri na uiandike ili isiweze kubadilishwa: kulingana na sheria za Wamedi na Waajemi, ambazo haziwezi kubatilishwa.” Hivyo Mfalme Dario akaiweka amri hiyo katika maandishi.
Shirikisha
Soma Danieli 6