Danieli 6:8
Danieli 6:8 Biblia Habari Njema (BHN)
Hivyo, ee mfalme Dario, utoe amri hiyo na kuitia hati sahihi yako ili isibadilishwe. Nayo itakuwa sheria ya Wamedi na Wapersi, sheria ambayo haibatilishwi.”
Shirikisha
Soma Danieli 6Danieli 6:8 Swahili Revised Union Version (SRUV)
Sasa, Ee mfalme, piga marufuku, ukatie sahihi maandiko haya, yasibadilike, kama ilivyo sheria ya Wamedi na Waajemi, isiyoweza kubadilika.
Shirikisha
Soma Danieli 6