Danieli 6:27
Danieli 6:27 Biblia Habari Njema (BHN)
Yeye hukomboa na kuokoa, hufanya ishara na maajabu mbinguni na duniani, maana amemwokoa Danieli makuchani mwa simba.”
Shirikisha
Soma Danieli 6Danieli 6:27 Swahili Revised Union Version (SRUV)
Yeye huponya na kuokoa, hutenda ishara na maajabu mbinguni na duniani, ndiye aliyemponya Danieli na nguvu za simba.
Shirikisha
Soma Danieli 6