Danieli 6:11
Danieli 6:11 Biblia Habari Njema (BHN)
Watu wale waliofanya mpango dhidi ya Danieli waliingia ndani, wakamkuta Danieli akiomba dua na kumsihi Mungu wake.
Shirikisha
Soma Danieli 6Danieli 6:11 Swahili Revised Union Version (SRUV)
Basi watu hao wakakusanyika pamoja, wakamwona Danieli akiomba dua, mbele za Mungu wake na kusihi.
Shirikisha
Soma Danieli 6