Danieli 4:8
Danieli 4:8 Biblia Habari Njema (BHN)
Baadaye, akaja Danieli, anayeitwa pia Belteshaza, jina la mungu wangu, ambaye roho ya miungu mitakatifu imo ndani yake. Nami nikamsimulia ndoto yangu, nikasema
Shirikisha
Soma Danieli 4Danieli 4:8 Swahili Revised Union Version (SRUV)
Bali hatimaye Danieli akaingia mbele yangu, ambaye jina lake ni Belteshaza, kwa kufuata jina la mungu wangu; tena ndani yake inakaa roho ya miungu watakatifu; nikamsimulia ile ndoto, nikisema
Shirikisha
Soma Danieli 4