Danieli 4:3
Danieli 4:3 Biblia Habari Njema (BHN)
Jinsi gani zilivyo kubwa ishara zake Mungu! Maajabu yake ni makuu mno! Ufalme wake ni ufalme wa milele; enzi yake yadumu kizazi hata kizazi.
Shirikisha
Soma Danieli 4Danieli 4:3 Swahili Revised Union Version (SRUV)
Ishara zake ni kubwa kama nini! Na maajabu yake yana uweza kama nini! Ufalme wake ni ufalme wa milele; na mamlaka yake ni ya kizazi hata kizazi.
Shirikisha
Soma Danieli 4