Danieli 4:1
Danieli 4:1 Swahili Revised Union Version (SRUV)
Mfalme Nebukadneza, kwa watu wa kabila zote, na taifa zote, na lugha zote, wanaokaa katika dunia yote; Amani iongezeke kwenu.
Shirikisha
Soma Danieli 4Danieli 4:1 Biblia Habari Njema (BHN)
“Mimi mfalme Nebukadneza, nawaandikia watu wa makabila yote, mataifa yote na lugha zote kote duniani. Nawatakieni amani tele!
Shirikisha
Soma Danieli 4Danieli 4:1 Swahili Revised Union Version (SRUV)
Mfalme Nebukadneza, kwa watu wa kabila zote, na taifa zote, na lugha zote, wanaokaa katika dunia yote; Amani iongezeke kwenu.
Shirikisha
Soma Danieli 4