Danieli 3:13
Danieli 3:13 Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia (SUV)
Basi Nebukadreza akatoa amri kwa hasira na ghadhabu, waletwe hao Shadraka, na Meshaki, na Abednego. Basi wakawaleta watu hao mbele ya mfalme.
Shirikisha
Soma Danieli 3Danieli 3:13 Biblia Habari Njema (BHN)
Hapo mfalme Nebukadneza, huku akiwaka hasira, akaamuru Shadraki, Meshaki na Abednego waletwe mbele yake. Nao wakawaleta mbele ya mfalme.
Shirikisha
Soma Danieli 3Danieli 3:13 Swahili Revised Union Version (SRUV)
Basi Nebukadneza akatoa amri kwa hasira na ghadhabu, waletwe hao Shadraka, na Meshaki, na Abednego. Basi wakawaleta watu hao mbele ya mfalme.
Shirikisha
Soma Danieli 3