Danieli 2:23
Danieli 2:23 Swahili Revised Union Version (SRUV)
Nakushukuru, nakuhimidi, Ee Mungu wa baba zangu, uliyenipa hekima na uwezo, ukanijulisha hayo tuliyotaka kwako; maana umetujulisha neno lile la mfalme.
Shirikisha
Soma Danieli 2Danieli 2:23 Biblia Habari Njema (BHN)
Kwako, ee Mungu wa wazee wangu, natoa shukrani na kukusifu, maana umenipa hekima na nguvu, umetujulisha kile tulichokuomba, umetujulisha kile kisa cha mfalme.”
Shirikisha
Soma Danieli 2Danieli 2:23 Swahili Revised Union Version (SRUV)
Nakushukuru, nakuhimidi, Ee Mungu wa baba zangu, uliyenipa hekima na uwezo, ukanijulisha hayo tuliyotaka kwako; maana umetujulisha neno lile la mfalme.
Shirikisha
Soma Danieli 2