Danieli 12:6
Danieli 12:6 Biblia Habari Njema (BHN)
Nikamwuliza yule aliyesimama upande wa juu wa mto, amevaa mavazi ya kitani, mambo haya ya kutisha yatadumu mpaka lini ndipo yaishe?
Shirikisha
Soma Danieli 12Danieli 12:6 Swahili Revised Union Version (SRUV)
Na mmoja akamwuliza yule mtu aliyevikwa nguo za kitani, aliyekuwa juu ya maji ya mto, Je! Itakuwa muda wa miaka mingapi hata mwisho wa mambo haya ya ajabu?
Shirikisha
Soma Danieli 12