Danieli 12:10 - Compare All Versions
Danieli 12:10 BHN (Biblia Habari Njema)
Watu wengi wataondolewa uchafu, watatakaswa na kusafishwa. Lakini watu waovu wataendelea kutenda uovu. Hakuna hata mmoja wa hao waovu atakayeelewa; wenye hekima ndio watakaoelewa.
Shirikisha
Danieli 12 BHNDanieli 12:10 SRUV (Swahili Revised Union Version)
Wengi watajitakasa, na kujifanya weupe, na kusafika; bali wabaya watatenda mabaya; wala hataelewa mtu mbaya awaye yote; bali wao walio na hekima ndio watakaoelewa.
Shirikisha
Danieli 12 SRUVDanieli 12:10 SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Wengi watajitakasa, na kujifanya weupe, na kusafika; bali wabaya watatenda mabaya; wala hataelewa mtu mbaya awaye yote; bali wao walio na hekima ndio watakaoelewa.
Shirikisha
Danieli 12 SUVDanieli 12:10 NEN (Neno)
Wengi watatakaswa, na kuondolewa mawaa na kufanywa safi, lakini waovu wataendelea kuwa waovu. Hakuna mmoja wa waovu atakayefahamu, lakini wale wenye hekima watafahamu.
Shirikisha
Danieli 12 NEN