Danieli 1:7
Danieli 1:7 Neno: Bibilia Takatifu 2025 (NENO)
Mkuu wa maafisa akawapa majina mapya: Danieli akamwita jina Belteshaza, Hanania akamwita jina Shadraki, Mishaeli akamwita jina Meshaki, na Azaria akamwita jina Abednego.
Shirikisha
Soma Danieli 1Danieli 1:7 Biblia Habari Njema (BHN)
Huyo towashi mkuu akawapa majina mengine; Danieli akamwita Belteshaza, Hanania akamwita Shadraki, Mishaeli akamwita Meshaki na Azaria akamwita Abednego.
Shirikisha
Soma Danieli 1Danieli 1:7 Swahili Revised Union Version (SRUV)
Mkuu wa matowashi akawapa majina; alimwita Danieli, Belteshaza; na Hanania akamwita Shadraka; na Mishaeli akamwita Meshaki; na Azaria akamwita Abednego.
Shirikisha
Soma Danieli 1