Wakolosai 4:5-6
Wakolosai 4:5-6 Biblia Habari Njema (BHN)
Muwe na hekima katika uhusiano wenu na watu wasioamini, mkitumia vizuri wakati mlio nao. Mazungumzo yenu yanapaswa kuwa daima mema na yaliyokolezwa kwa chumvi na ya kuvutia, na mnapaswa kujua jinsi ya kumjibu vizuri kila mmoja.
Shirikisha
Soma Wakolosai 4Wakolosai 4:5-6 Swahili Revised Union Version (SRUV)
Nendeni kwa hekima mbele yao walio nje, mkiukomboa wakati. Maneno yenu yawe na neema siku zote, yakikolezwa chumvi, ili mpate kujua jinsi iwapasavyo kumjibu kila mtu.
Shirikisha
Soma Wakolosai 4Wakolosai 4:5-6 Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia (SUV)
Enendeni kwa hekima mbele yao walio nje, mkiukomboa wakati. Maneno yenu yawe na neema siku zote, yakikolea munyu, mpate kujua jinsi iwapasavyo kumjibu kila mtu.
Shirikisha
Soma Wakolosai 4