Wakolosai 4:2-3
Wakolosai 4:2-3 Biblia Habari Njema (BHN)
Dumuni katika sala, na mnaposali muwe waangalifu, mkimshukuru Mungu. Vilevile, mtuombee sisi pia ili Mungu atupe fursa ya kuuhubiri ujumbe wake kuhusu siri ya Kristo. Kwa ajili hiyo mimi niko sasa kifungoni.
Shirikisha
Soma Wakolosai 4Wakolosai 4:2-3 Swahili Revised Union Version (SRUV)
Dumuni sana katika kuomba, mkikesha katika kuomba mkiwa na shukrani; mkituombea na sisi pia, kwamba Mungu atufungulie mlango kwa lile neno lake, tuinene siri ya Kristo, ambayo kwa ajili yake nimefungwa
Shirikisha
Soma Wakolosai 4Wakolosai 4:2-3 Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia (SUV)
Dumuni sana katika kuomba, mkikesha katika kuomba huku na shukrani; mkituombea na sisi pia, kwamba Mungu atufungulie mlango kwa lile neno lake, tuinene siri ya Kristo, ambayo kwa ajili yake nimefungwa
Shirikisha
Soma Wakolosai 4